NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI CHARLES KITWANGA AKUTANA NA UJUMBE WA...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga (Kulia) akizungumza na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani uliomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kujifunza fursa za uwekezaji...
View ArticleRAIS WA UJERUMANI AWASILI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck wakipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AMUANDALIA RAIS WA UJERUMANI DHIFA YA KITAIFA YA CHAKULA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya...
View ArticleTANZANIA EARLY CHILDHOOD DEVELOPMENT NETWORK (TECDEN) YOUR PARTNER IN CHILD...
Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) is a network that is formed by various Organizations which are working to improve children livelihood in Tanzania.This Network was established in...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA TAKRIBANI SHILLINGI BILIONI 15.5 KUTOKA UGANDA
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima.………………………………………………………………………………………….Na Lorietha Laurence-Maelezo DodomaSerikali ya Tanzania imepokea takribani shillingi bilioni 15.5 kutoka Serikali ya Uganda ikiwa...
View ArticleSERIKALI YAJENGA BARABARA ZENYE UREFU WA KILOMETA 42 MJI WA DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akijibu swali Mbunge Bungeni.………………………………………………………………………………..Na Lorietha Laurence-Maelezo , DodomaSERIKALI kupitia mradi wa...
View ArticleWAMILIKI WA SHULE ZA SEKONDARI WATAKIWA KUZINGATIA VIWANGO VYA UFAULU
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Anna Kilango Malecela akijibu swali la Mh. Joseph Selasini Mbunge wa Rombo.Mbunge la Mbunge wa Rombo Joseph Selasini, akiuliza...
View ArticleBUNGE LARIDHIKA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA WA RAIA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akijibu swali la mbunge Bungeni Dodoma.…………………………………………………………………………..Hussein Makame-MAELEZO, DodomaBUNGE limeridhishwa na hali ya ulinzi...
View ArticleMULTICHOICE YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA CHA DSTV HD
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king’amuziki kipya cha DStv HD...
View ArticlePINDA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi...
View ArticleESTABLISH AN INCLUSIVE MULTI-STAKEHOLDER EDUCATION
Mr. Bertin Mushi, Marketing Manager, Promasidor Tanzania Ltd and Ms. Fatma Fernandes from Abel & Fernandes Company Ltd exchanging ideas with primary school children at the Launch of Hatua Jithamini...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya MrishoKikwete akimlaki na kisha kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Njewa Jamhuri ya Kiislam ya Iran, Mheshimiwa Javad Zarif na ujumbe...
View ArticleTCRA, STARTIMES WABAINISHA TATIZO LINALOPELEKEA KUTOONEKANA VIZURI KWA...
Mhandisi wa Masafa kutokaMamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano nchini, TCRA, Bw Francis Mihayo (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tatizo lakutoonekana vizuri kwa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA SIKU YA SHERIA NCHINI...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akihutubia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Mkoni Rukwa leo tarehe 04/02/2015 katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga. Kaulimbiu...
View ArticleMALIASILI NA UTALII WAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI
Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika soko la Marekani Magharibi.Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya...
View ArticleKILIMANJARO WALIVYO SHEREHEKEA SIKU YA SHERIA NCHINI 2015
Brass Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza maandamano siku ya Sheria nchini kwa mkoa wa Kilimanjaro.Baadhi ya Wanasheria ,Mahakimu na watumishi wa Mahakama wakiwa katika maandamano hayo yaliyopita...
View ArticleKAIRUKI HOSPITALI YAINGIZA MTAMBO MAALUMU WA UPASUAJI
Mtambo maalumu wa kisasa kutoka Kampuni ya Ethicon ya Marekani utakaokuwa ukitumika katika upasuaji wa kawaida na ule wa matobo.HOSPITALI ya Kumbukumbu ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam,...
View ArticleTANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA MAFUTA NA GESI
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene (MB) akihutubia wadau mbalimbali wa mafuta na gesi duniana katika mkutano wa mwaka ulioandaliwa na GE Oil & Gas uliofanyika Florence,...
View ArticleTanzania mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa Wahasibu
Mhasibu Mkuu wa Serikali,Mwanaidi Mtanda akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusiana na mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa Serikali wa nchi za Mashariki...
View Articlewakulima 7 wakabidhiwa matrekta leo
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhifunguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji, matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi...
View Article