Mazishi ya Marehemu Nyaga Mawalla, yaliyofanyika jijini Nairobi Kenya katika...
Mwili wa marehemu Nyaga poul Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe,Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili...
View ArticleTIMU YA YANGA KUSAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA WAO UTAKAOWEZA KUINGIZA...
Hii ndiyo Ramani ya Uwanja Mpya wa Klabu ya Yanga, utakaojengwa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group, ambapo Klabu hiyo inatarajia kusainia mkataba wa kuanza kwa ujenzi wa uwanja huo,...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahamani Kinana...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mke wake Bi Yolanda MundA Mfupi baada ya kufunga ndoa, Kushoto juu ni katibu mkuu wa CCM COL:Mstaafu...
View ArticleDR. SALIM AHMED SALIM AONGOZA MAADHIMISHO YA 19 YA MAUAJI YA KIMBARI...
Maandamano ya raia wa Rwanda wanaoishi nchini Tanzania pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakijipanga katika ukumbi wa New World Cinema tayari kuanza maandamano ya...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WALIPOWASILI KENYA JANA..
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za...
View ArticleUhuru Kenyatta, Rais mpya wa Kenya
Rais mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta ameapishwa hii leo na kuchukua uongozi kutoka kwa Rais anayeondoka mamlakani Mwai Kibaki.Hii ni baada ya Uhuru kumshinda Raila Odinga katika uchaguzi mkuu uliofanyika...
View ArticleMaji yapungua Chipite, usafiri warejea Mtwara
Baada ya Maji kupungua katika eneo la Chipite ambalo lilijaa maji nakusababisha Abiria zaidi ya 500 na Magari zaidi ya 200 kushindwakupita,Kufanya gari nyingi ziendazo na...
View ArticleWaziri Dk Fenella Mukangara Akutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto) akiongea jambo na Balozi wa Uingereza nchini Dianna Melrose mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao...
View ArticleMajengo mapya ya NHC Mchikichini yalivyo sasa
Majengo ya nyumba za makazi za NHC Mchikichini yakiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi, yatakapokamilika yatakaliwa na familia 48, ambapo katika kila nyumba ina vyumba vitatu jiko na choo pamoja na...
View ArticleMapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana yatia Fora Mkoani Morogoro
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ukionzwa na waendesha pikipiki baada ya kuwasili mjini Morogoro leo Aprili 14, 2013, Kinana anaaza jana ziara ya kikazi mkoani humo.Baadhi ya waendesha...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Nape Nnauye Wafanya Kweli Ifakara...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Shina la Wakereketwa wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akivishwa...
View ArticleTANZIA: Bi Kidude afariki dunia!
BI KIDUDEKwa Taarifa zilizopatikana punde, ni kuwa yule mwimbaji maarufu na mkongwe wa muziki wa Mwambao FATMA BINTI BARAKA alimaharufu kama Bi Kidude amefariki hii leo...Taarifa hizo pia...
View ArticleWAGONJWA 316 WAPATA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA
Wauguzi katika hospitali ya Rufaa ya Maweni wakitoa namba kwa wagonjwa waliojitokeza kuonana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya taifa ya Mhimbili Dk. Vence (Katikati) akiwa katika chumba cha...
View ArticleRais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akutana na Waandishi wa Habari Jijini...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) aliowaita leo nyumbani kwake Mikocheni...
View ArticleRais Kikwete, aongoza mamia kumzika Fatma Baraka 'Bi Kidude', katika makaburi...
Rais wa jamhuri ya Muungao Dk Jakaya Kikwete akifuatiwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein walipofika Kitumba yalipofanyika maziko ya Bi KidudeRais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania , Jakaya...
View ArticleMSIBA WA BILIONEA BABU SAMBEKE WAZUA GUMZO,VIGOGO WATAWALA MSIBANI
Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani ArushaWaombolezaji wakibeba jeneza la Bilionea...
View ArticleMkutano Mkubwa Wa Hadhara Uliyofanywa na Wabunge Wa Chadema Waliyosimamishwa...
Mbunge wa Ilemela-Chadema Highness Kiwia akiunguruma mbele ya Maelfu ya Wanachama wa Chadema Mkoani MwanzaMbunge wa Iringa-Mjini-Chadema Mchungaji Peter MsigwaSehemu ya Maelfu ya Wanachama wa Chadema...
View ArticleMbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe atoa majibu kwa Umma kuhusu Habari za...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema. Zitto Kabwe--Nimekuwa naulizwa kuhusu Habari za mama yangu Mzazi Bi. Shida kuvamiwa na kutishiwa bastola. Nawajibu watu Kwa ujumla kwamba...
View ArticleWabunge wa Chadema waliotimuliwa Bungeni Waunguruma Mbeya
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akisindikizwa na Maelfu ya wanachama wa chadema muda mfupi baada ya kuwasili mkoani mbeya kuhutubia kwenye mkutano wa hadhara katika Uwanja wa...
View ArticleMBUNGE GODBLESS LEMA AKAMATWA NA POLISI
Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi wa Polisi wakati huu wa usiku; Mh. Lema amekamatwa na amechukuliwa na gari la polisi na kupelekwa kituo...
View Article