Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013"
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na kuchoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipiga picha ya pamoja na wasichana waliowazawadia mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege