Hii ndiyo Ramani ya Uwanja Mpya wa Klabu ya Yanga, utakaojengwa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group, ambapo Klabu hiyo inatarajia kusainia mkataba wa kuanza kwa ujenzi wa uwanja huo, Mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
Francis Kifukwe (kulia) anapewa somo na wataalamu wa Kampuni hiyo
Mazungumzo yakiendelea.......
Mambo ndivyo yalivyokuwa wakati wa mkutano uliofanyika kwa ajili ya kuonyeshwa ramani ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Klabu ya Yanga, uliofanyia leo jijini Dar.
Uwanja mpya wa Yanga utakuwa hivi.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Yanga na kampuni hiyo itakayojenga uwanja huo. Picha zote kwa hisani ya Lenzi ya Michezo.