BASI AINA SCANIA NA COSTA TOYOTA YASABABISHA AJALI NA WATU WANNE KUFARIKI...
WATU wanne wamekufa na wengine 14 wamejeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Wilaya ya Mpanda baada ya basi la Kampuni ya AN kugongana uso kwa uso na gari lingine. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI WA SENGEREMA KUMZIKA DKT. SHIJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa...
View ArticleMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YADHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA...
Washiriki wa kongamano lamafunzo ya mfumo mpya wa shirika la kimataifa la usafiri wa anga (ICAO)kutoka nchi za Nigeria,Mali,Ivort coast,Senager,Rwanda,Cape Verde,Gabon na Tanzania wakiwa katika picha...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE TABORA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora (picha na Freddy Maro)Kiongozi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,156 MJINI TABORA
Rais Jakaya Kikwete akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Loveness Ruhaga (kulia) aliyekuwa Mkimbizi kutoka nchini Burundi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Tabora...
View ArticleTAMASHA LA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA LAELIMISHA KUHUSU NGUVU YA KODI KWA...
Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya...
View ArticleMAAFISA MIPANGO WASHIRIKISHE MAKUNDI MAALUM UPANGAJI BAJETI – DED IKUNGI
Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi, Mwl. Olivary Kamilly, akitoa taarifa yake kwenye kilele cha mahafali ya 63 yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo kongwe iliyoanzishwa...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI-DAR
Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto),...
View ArticleNHC yashiriki Bonanza la Wafanyakazi Shimmuta UDSM
Kikosi cha timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa kikiwa kimejiandaa tayari kwa mpambano na timu pinzani za IFM na Muhimbili ambapo katika mechi zote mbili kilitoka (0-0). Michuano hiyo ya bonanza...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki Atembelea Eneo La Mbagala...
Lori hilo lilivyoteketea kwa moto uliosababishwa na mshumaa. Moja ya maduka ya vifaa vya pikipiki lililoteketea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiangalia tenki la lori hilo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
View ArticleAIRTEL YAKARABATI DUKA JINGINE KISIWANI ZANZIBAR
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi akizungumza jambowakati wa uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la Airtel kisiwaniZanzibar .Akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa...
View ArticleNHIF YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA VIJIBWENI
Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA CCM DODOMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo...
View ArticleTIGO YAZINDUA HUDUMA MPYA YA ‘WELCOME PACK’ MKOANI IRINGA
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh.Dkt. Christine Ishengoma akisalimiana na Mkurugenzi mkuu wa Tigo kanda ya kusini Bw. Jackson Kiswaga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kifurushi kipya cha tigo cha welcome pack...
View ArticleVIJIJI 1,800 KUPATA MAWASILIANO YA SIMU, INTERNET MWAKANI (2015)
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba (Kulia) akizungumza katika mkutano wa wadau wa teknolojia ya Tehama (Capacity Africa 2014) ambapo amesema serikali itaondoa tatizo la...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA...
Washiriki wa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 wakiwa katika picha ya pamoja. Baadhi ya washiriki wa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU AMIN ELIAS MBAGA WAAGWA DAR
Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu.Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM MJINI DODOMA JIONI HII
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...
View ArticleUJUMBE WA TANZANIA WAKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA TANZANIA, UGANDA,...
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka...
View ArticleMTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA, TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya Vituka Dar es Salaam Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas...
View Article