Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6851 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAFANYA VIZURI KATIKA NYANJA YA UWEKEZAJI - RIPOTI YA UWEKEZAJI...

 Bi. Kairuki amesema Tanzania imeweza kupata Uwekezaji mara dufu katika maeneo ya Mafuta na Utafiti wa Gesi Asilia katika kusukuma pato la taifa kuongeza ajira na kupambana na umaskini.Ameongeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO- 2013

  Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai.Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.Aidha, kama baadae...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujumbe wa Rais wa Sierra Leone watembelea Shirika la Nyumba la Taifa

 Meya wa Jiji la Freetown, Sierra Leone, Mheshimiwa Sam Franklyn Bababode Gibson (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari (kulia), wakati ujumbe wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEJA WA AIRTEL TUMIA AIRTEL YATOSHA JUMBA HILOOO

Mwisho wa mwezi mwendo wa ku relax, kodi ya Nyumba hakuna tena, tumia AIRTEL YATOSHA ushinde Jumba kama hili na hii ni sehemu ya mbele tuu,Kelele za wapangaji tupa kuleee kwa sababu airtel YATOSHA ndo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGA KONGAMANO LA KUJADILI AMANI YA TAIFA

Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Centre for Democracy(TCD) ambaye pia ni kiongozi wa chama cha NCCR Mageuzi Mhe. James Mbatia akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maazimio ya Kongamano la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASANJA- MKANDAMIZAJI, SHILOLE WATEMBELEA NEW YORK CITY!!

Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa wa moto “Hot Dog” wakati alipokua New York City akisubili boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA MJI MDOGO WA MAKAMBAKO

Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako baada ya kuwasili kwenye  mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI LIBERATA MULAMULA AWASILI WASHINGTON, DC

Balozi Liberata Mulamula akishuka kwenye gari Bethesda, Maryland wakati akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia Ijumaa July 12, 2013. Mhe, Mulamula ndiye Balozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Atunuku Kamisheni Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa...

 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, tayari kwa kutunuku kamisheni kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Redd's Miss Temeke

MREMBO atakayetwaa taji la Redds Miss Temeke 2013, linalofanyika Ijumaa Julai 5, mwaka huu ataondoka na zawadi za jumla ya Sh. Milioni 3,250,000 ikiwa ni zawadi kubwa zaidi kutolewa katika mashindano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya TIB

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini Dar es salaam Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chadema Yashinda Kwa Kishindo Kata Zake Nne Kwenye Uchaguzi Mdogo wa Udiwani...

Wafuasi wa Chadema Wakishangilia Ushindi--MATOKEO NI KAMA IFWATAVYOChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), `kimefunika' katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika kwenye kata nne za Jimbo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ASHIRIKI SHUGHULI YA UTOAJI VIFAA VYA KUONGEZA USIKIVU KWA...

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mmoja wa wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni akiwa na  mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAJESHI WALIOUWAWA DAFUR KATIKA SHAMBULIO KUREJESHWA NCHINI

The African Union – United Nations Mission in Darfur (UNAMID), held a memorial ceremony, in Nyala, the capital of South Darfur, to honor the seven fallen peacekeepers who lost their lives in the 13...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwonekano wa leo wa nyumba za gharama nafuu NHC Kibada

Nyumba hizo za NHC Kibada, Kigamboni zijulikanazo kwa jina lake la Mradi kama Kigamboni Housing Estate zitakavyoonekana baada ya kumalizika. Picha ya mchoro wa kompyuta inayoonyesha namna ambavyo mji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema na Wabunge Wengine Wanne Wa...

Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani.Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete azindua Rasmi huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB POPOTE...

 Mgeni rasmi, Rais Jakaya Kikwete akizindua huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB POPOTE mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar ,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA UMEME NCHINI(TANESCO) LASAINI MKATABA WA NISHATI YA UMEME NA...

  Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba akisaini hati na Mwenyekiti wa Kampuni ya Uwekezaji ya CPI, Lu Quizhou baada ya kuingia mkataba wa uwekezaji wa nishati ya Umeme jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CPA Tawi la Tanzania yaanza maandalizi mkutano wa mwakani

Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Tawi la Tanzania  Mhe. Mussa Zungu Azzan akifungua kikao cha Kamati tandaji pamoja na  Sekretarieti jijini Dar es Salaam leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO ABUJA NIGERIA, AONDOKA LEO...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Watanzani ya waishio mjini Abuja, wakati alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania...

View Article
Browsing all 6851 articles
Browse latest View live