SOMA TAMKO RASMI LA CHADEMA KWA WANANCHI JUU YA KINACHOENDELEA KWENYE CHAGUZI...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa taarifa za Hujuma zinazoendelea katika chaguzi za marudio kwa kata mbalimbali hapa nchini.Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatoa taarifa ya matukio...
View ArticleWaziri Membe Akutana kwa Mazungumzo na Ujumbe wa Chama cha Ukombozi wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akisisistiza jambo wakati alipokutana kwa mazungumzo na Mhe. Yaseer Khalid, Mjumbe wa Kamati Tendaji na Naibu Mwenyekiti...
View ArticleMinister for Foreign Affairs and International Co-operation Bernard Membe...
H.E. President Mahinda Rajapaksa of Sri Lanka says goodbye to the Dar es Salaam Regional Commissioner Saidi Meck Sadik. President Rajapaksa says goodbye to Ambassador Mbelwa Kairuki, Director of the...
View ArticleMaandalizi Ya Mapokezi Ya Rais Wa Marekani Barack Obama Nchini Tanzania
Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake...
View ArticleRais Barack Obama Wa Marekani Alivyolakiwa Kwa Shangwe IKULU Jijini Dar es...
Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam na baadaye akaongea na wanahabari. Rais Kikwete akiwa ameambatana na mgeni wake,Rais wa Marekani,Barack...
View ArticleRais Wa Marekani Barack Obama akiwasili Nchini Tanzania
Mhe. Rais Kikwete na Mhe. Rais Obama wakitembea kwa pamoja Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Michelle Obama muda mfupi baada ya kuwasili kwa Rais Obama nchini kwa ziara ya siku mbili...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Alivyomwandalia Rais wa Marekani Barack Obama na Mkewe...
Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na...
View ArticleRais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa...
Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Alivyomtambulisha Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa Kwa...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa muda mfupi kabla ya kiongozi huyo wa taifa la Marekani kuondoka nchini baada ya...
View ArticleKAMPUNI YA EAG GROUP WATENGENEZAJI WA SIMU ZA SMARTPHONE AINA YA MOTEK...
Banda la EAG Group ndani ya Viwanja vya maonyesho ya Sabasaba linavyoonekana Mfanyakazi wa Kampuni ya EAG Group Annie Moses, Ambao ni watengenezaji na wauzaji wa Simu aina Ya Motek na Milango Kutoka...
View ArticleJESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI
Jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiangalia mafuta ya ubuyu na bidhaa zingine kwenye banda la Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote (EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika...
View ArticleRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI WASHINGTON, DC...
Mhe. Rais Mustaafu Ali Hassani Mwinyi akishuka kwenye gari akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa Dulles Sterling, Virginia Mhe. Mwinyi amekuja kwa ajili ya Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili na sherehe...
View ArticleWATEJA AIRTEL SASA KUJISHINDIA NYUMBA 3 ZA KISASA KUPITIA HUDUMA YA YATOSHA
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye uzinduzi wa promosheni ya Airtel Yatosha Shinda Nyumba 3, iliyofanyika katika ofisi za Airtel...
View ArticleMlezi wa CCM Mko wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal Akutana...
Mlezi wa CCM Mko wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam,...
View ArticleRAIS KIKWETE, ERIC SHIGONGO WATOA NENO LA MATUMAINI
Rais Kikwete akitoa neno la Matumaini katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013.Eric Shigonga naye akitoa neno la Matumaini wakati wa tamasha…Rais Kikwete akitoa neno la Matumaini katika Tamasha la...
View ArticleSIMBA NA YANGA (WABUNGE) WAKIPASHA MISULI KABLA YA MECHI KUANZA
Wabunge wa Simba na Yanga wakipasha misuli kabla ya mtanange wao kuanza. PICHA ZA GLOBAL PUBLISHERS
View ArticleYANGA WAILAZA SIMBA KWA PENATI 4-3, WATWAA KOMBE
Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia na kombe lao.Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia baada ya kuwalaza watani wao Simba (Wabunge) kwa penati 4-3.
View ArticleNHC YAMPIGA TAFU MISS TANZANIA 2012 KUJENGA BWENI LA ALBINO BUHANGIJA
Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 4.1 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...
View ArticleWAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA...
Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ambalo umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo ujenzi huo utagharimu sh.Bilioni 214,kati ya fedha hizo asilimia 60...
View Article