Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Serikali ya Dubai afanya ziara nchini
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai Bw. Omar Mjenga (katikati) akimtambulisha Mhe. Lootah (wa kwanza kulia) kwa Mkurugenzi wa IPP Media Bw. Reginald Mengi walipokutana katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es...
View ArticleTSN KUMWAGA ZAWADI ZA KUTOSHA KATIKA TAMASHA LA KWANZA LA MAGARI LA...
Mmiliki wa Jossekazi Auto garage ambao ndiyo waandaaji wa tamasha akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha la kwanza la Magari la aina yake, linalojulikana kwa jina la Automobile Clinic,...
View ArticleSERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA.
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mh. Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi Baadhi ya...
View ArticleMkurugenzi wa Fedha Felix Maagi afanya ziara ya miradi ya Monduli, Longido...
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akijadiliana jambo na Injinia Peter Mwaisabula na Amani Tongola kwenye eneo la ujenzi wa nyumba la Longido, Arusha. (Picha za Kitengo cha...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON DC KWA MIKUTANO MBALIMBALI PAMOJA NA HAFLA YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa...
View ArticleWafanyabiashara Namanga walalamikia kunyanyaswa nchini Kenya
Wafanyabiashara wa Namanga na Wilaya ya Longido wameiomba Serikali iwajengee Soko kubwa Namanga ili waepukane na usumbufu wanaoupata wanapokwenda Kenya kuuza mifugo, mazao na bidhaa nyingine....
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA WASHUHUDIA UPIMAJI WAGONJWA WA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA...
Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi, Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege...
View ArticleGREEN WASTE PRO LTD WAKAMILISHA KAMPENI YA USAFI KWA UFANISI, TICTS NAO...
Baadhi ya wafanyakazi Kampuni ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) wakiwasili kwenye ufukwe wa bahari ya hindi maeneo Kata ya Kivukoni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kusafisha fukwe hizo...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha...
View ArticleBBA: MEET HOTSHOTS LAVEDA, KACEY MOORE AND JJ
Laveda - TanzaniaAge: 23Bachelor of Arts & Social Sciences graduate Laveda was born in Dar Es Salaam. She’s single and describes herself as ‘eccentric, loving, caring, simple and fun’. Laveda is...
View ArticleDK. SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Ms Mzimga Melu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na...
View ArticleMH. PINDA AHUDHURI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MWAIPOPO WA DAYOSISI YA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakisalimiana na Askofu Damian Kyaruzi wa Jimbo la Sumbawanga (kulia) katika Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika, Ambele...
View ArticleMKURUGENZI MKUU ATEMBELEA ENEO LA KUCHIMBUA MAJI KWA AJILI YA SAFARI CITY
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwasili katika eneo la shamba la Magereza patakapochimbuliwa maji kwa ajili ya mji mpya wa Safari City jijini Arusha hivi...
View ArticleASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI WATAKIWA KUWA WAADILIFU, WAAMINIFU
Na Lydia Churi, MAELEZOAskari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji nchini wametakiwa kuwa waadilifu, waaminifu, watii na watekelezaji wa sheria zote za nchi kwa kuwa hizo ni miongoni mwa sifa za askari...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan...
View ArticleMAZIKO YA MAREHEMU IDDI PANDU HASSAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ALhaj Dk. Mohamed Gharib Bilali waliungana na wananchi mbali mbali...
View ArticleKINANA AITEKA CHALINZE PWANI, LEO KUENDELEA MKOANI TANGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kiwangwa ambapo alikagua jengo jipya la wodi ya Wazazi. Kituo cha afya cha Kiwangwa kina uwezo wa kuhudumia watu zaidi ya...
View ArticleMHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA RWANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne Marie Kaarstad, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleMRADI WA NYUMBA WA DEGE ECO- VILLAGE WAANZA, WANANCHI WACHANGAMKIA FURSA.
Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam inategemea kuanza hivi karibuni.Akiongea na waandishi wa...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA ELIMU: KUWAWEZESHA VIJANA KUFANYA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Dkt. Peter Feiler, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kiuchumi katika Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi...
View Article