Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAG AHUDHURIA KIKAO CHA 68 CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA...

CAG wa Tanzania Bw. Ludovick  S. L Utouh. pamoja name wajumbe wenzie wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa wakisaini ripoti 29 za taasisi za umoja huo zilizokaguliwa. Wajumbe hao ni Bw. LiuJiayi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA MGENI RASMI SHEREHE ZA KUMSIMIKA ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA RUVUMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi Askofu wa Kanisa la Kiinhili la Kilutheri  Dayosisi ya  Ruvuma, Amon Joel Mwenda katika Ibada ya kumsimika  kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo iliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA NHC LAENDELEA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA

  Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi Rachel Kasanda akikabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa Hassan Soud Katibu wa ikundi cha Changamoto kwa niaba ya vikundi vingine vya wilaya ya Ilala ambazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania National Defence College's Second Course 2013/14 Valedictory function

 National anthem is played to usher the end of the session Another group photo in academic gowns A typical scene at any higher learning institution Minister of defence Dr Hussein Mwinyi, Chief...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WANANCHI JIMBONI KWAKE.

Maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe yakifanyika.Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe akiwakaribisha wananchi katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI...

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akimkabidhi boksi la vyombo na zawadi ya sh. 10,000 mmoja wa viongozi 912 wa matawi wa ya CCM na jumuiya zake wa jimbo hilo, katika hafla ya kutoa mkono...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WAWASILI ZANZIBAR KUTOKEA DAR ES SALAM NA KUKABIDHIWA MKUU WA MKOA WA...

Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Getrudi Mpaka akitoa salam za Mkoa huo kabla ya kuukabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mjini Magharibi  july 30.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA MNYAMA NA WANYAMA WATIKISA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD PILI

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ akizikonga nyoyo za mashabiki wa Dar Live katika Usiku wa Mnyama na Wanyama.Mnyama TID akijiachia kwa mashabiki wake wa Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIASA PEMBENI WABUNGE WA CCM NA CHADEMA KITU KIMOJA DC

Kushoto NI Naibu waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Mh. Stephen Samuel Masselle akiwa na mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari baada ya mkutano wa viongozi vijana barani Afrika katika hoteli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

From The Bank Of Tanzania:Bank Of Tanzania Appoints Lawrence Mafuru As...

 Mr. Lawrence Mafuru---The Bank of Tanzania has decided to take over management of FBME Bank Limited to the exclusion of the board of directors and management of the bank. This step has been...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES...

Marais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika  Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha Maalum Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Asali Swala ya Iddi El Fitr...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam  juzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!

Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WAKUTANA NA WAANDHISHI WA HABARI JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maerlezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NUSU MWAKA KUANZIA JANUARY HADI...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-BisimbaMtafiti wa Tafiti mbalimbali wa LHRC, Wakili Pasience Mlowe.Mkurugenzi wa Uwezeshashi na Uwajibikaji wa LHRC,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA KIKAPU AFRIKA WAFANYIKA MADAGASCAR

Rais wa FIBA Yvan Mainini akiwa na baadhi ya wadau wa kikapu dunianiSehemu ya ujumbe wa Tanzania , Salehe Zonga Katibu Mkuu TBF na Phares Magesa mdau wa kikapuMakamu wa Rais wa NBA Akitoa mada kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA CBE CHAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 JIJINI DAR, WADAU MBALIMBALI...

         Mbunge wa Ilala Mh. Mussa Zungu ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) akikata utepe kuashiria uzindunzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI JULAI

Utangulizi Ndugu wananchi; Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live