Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6856 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA MATEMANGA TUNDURU MANGAKA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Tunduru mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB) Bibi Tonia Kandiero wakifunua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOFAUTI ZA DINI ZISIWAGAWE WATANZANIA - MHESHIMIWA MWINYI

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Karimjee kuhudhuria Futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (wa pili kutoka kushoto) kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche Akutana na...

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kuanza kwa uchaguzi wa nafasi za uongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA...

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Ally CHangwila  akimkabidhi  msaada wa Madaftari na vyakula mbalimbali  Samson Ali (12) ambaye ni mmoja wa watoto waishio katika mazingira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU...

Mhandisi Donart Makingi (Kushoto) kwa niaba ya Meneja wa Usalama kazini akitoa maelekezo kwa wahandisi namna ya kuzingatia usalama katika eneo la kazi ikiwa ni pamoja na kuto kupanda kwenye nguzo, ama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENDELEO BANK YAANZISHA HUDUMA ZA BIMA

Ofisa Mtendaji Mkuu  wa Maendeleo Bank Ibrahim Mwangalaba akiongea wakati wa uzinduzi wa hudua ya Maendeleo Insurance Agency iliyoanza kutolewa na benki hiyo kwa wateja wake..Wafanyakazi wa Maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BRN PIA AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA KIKWETE MKUTANO...

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Katibu Mkuu, Kiongozi, Balozi Seif Sefue  (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Dr. Omari Issa baada ya kufungua mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO

Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SITOWACHEKEA WACHAFUZI WA MAZINGIRA – MH.MAHENGE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Mh. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mazingira wa Wilaya ya Ilala bw. Abdon Mapunda (wa pili kushoto) alipotembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabehewa Mapya 25 Ya Kuimarisha Reli ya Kati Yawasili Nchini Kutoka Nchini...

Moja ya mabehewa ya kubebea kokoto zitakazotumika kwa ajili ya kuimarisha reli ya Kati ikishushwa kutoka katika meli ilipowasili katika Bandari ya Dar es Salaam kutoka India. Jumla ya mabehewa 25...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Namelok Sokoine, wadau watoa misaada Sekondari iliyoungua

Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Arusha(CCM) Namelok Sokoine akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Irkisongo wilayani Monduli Happiness Nyange msaada wake wa shilingi millioni moja kufuatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMUIKE PAMOJA LEO KUCHEZA WIMBO MPYA WA SKYLIGHT BAND “PASUA TWENDE” KIOTA...

Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHIKAWE AMSHUKURU RAIS KIKWETE KWA KUZINDUA MRADI WA MAJI NACHINGWEA

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi mkubwa wa Maji kwa upande wa Wilaya ya Nachingwea katika Kijiji cha Chiumbati mkoani Lindi. Mradi huo mkubwa wenye thamani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE BUNGE MAALUM

Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMEKUCHA TAMASHA LA SABA LA MUZIKI WA CIGOGO 2014 DK . NCHIMBI KUBARIKI...

Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Sanaa Chamwino ‘CAC’, Dr. Kedmon Mapana (katikati) akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa utambulisho wa tamasha la saba la muziki wa cigogo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMUAPISHA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam.Picha zote na Frank Shija-...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Mgeni Rasmi Kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya...

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AFUTURISHA WANANCHI, IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU MKUU WA KANISA KATOLIKI JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM MUADHAMA POLYCARP...

 Kufuatia kufanya vizuri kwa Shule ya Sekondari ya St. Joseph ya Jijini Dar es Salaam ambayo inamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA DAR ES SALAAM

Kikundi cha vijana toka Halmashauri ya Manispaa ya Temeke wakisherehesha wakati wa kuwasili kwa mwenge wa Uhuru uliokabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik kutoka kwa mkuu wa Mkoa...

View Article
Browsing all 6856 articles
Browse latest View live