Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA MALABO, EQUATORIAL GUINEA

Uwanja wa ndege wa Kimataifa  wa MalaboMkeka wa uhakikaMajengo ya kisasaBarabara na vivuko vya watu vya kisasaKatikati ya jiji la MalaboSehemu ya nyumba nyingi zinazojengwa na serikali kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA...

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MKUU...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI CHIKAWE, IGP MANGU WAFANYA ZIARA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA...

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquline Maleko akimfafanulia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANDA LA JESHI LA MAGEREZA LANG’ARA KWA SAMANI ZA NDANI MAONESHO 38 YA...

Banda la Jeshi la Magereza lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam. Jeshi la Magereza linashiriki katika Maonesho ya 38 ya Biashara Mwaka 2014 ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MMILIKI WA MICHUZI BLOG, MUHIDIN ISSA MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA...

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)...

 Jukwaa likitengenezwa kwaajili ya Washiriki Wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kupanda jukwaani na kuanza kuonyesha vipaji vyao, Onyesho hili ni onyesho la kwanza la kuelekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AKIMPOKEA MALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA (UN) LASHIRIKI MAONYESHO YA 38 YA TANTRADE JIJINI...

Bw. Magnus Minja kutoka mashirika ya umoja  wa mataifa nchini UN na ILO akizungumza na vijana waliotembelea katika banda la mashirika hayo kwenye maonyesho ya 38 ya  biashara ya Kimataifa  TANTRADE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA PROPERTY...

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA BET RED CARPET NA BEHIND THE SCENE

Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya mapaparazi zaidi ya 200. Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na suti yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo Waingereza wanasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAPETA MAONYESHO YA 38 YA TANTRADE JIJINI DAR ES...

 Wateja mbalimbali waliofika katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo mchana wakisikiliza maelekezo kutoka kwa maafisa mauzo wa Shirika hilo. Aliyeketi ni Narindwa Norbert wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS REDD’S SHINYANGA 2014 APATIKANA

Miss Redd’s Shinyanga 2014 ni Nicole Franklyn Sarakikya (katikati) mrembo kutoka wilaya ya Kishapu. Miss Redd’s Shinyanga 2014 ni Nicole Franklyn Sarakikya (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Mary...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal...

 Rais wa Burundi Mhe. P. Nkurunziza akikagua gwaride rasmi kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura Burundi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF WAENDELEA KUPETA MAONYESHO YA SABASABA

 Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa ya kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia mikopo ya nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TTCL YATWAA TUZO YA MAONESHO YA BIASHARA SABASABA

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.Muonekano wa Banda la TTCL kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA...

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA MFUMO UTAKAOTUMIKA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU...

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu John Mkwawa wakati akisoma taarifa wakati akifungua mkutano wa siku moja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa unaohusu uboreshaji wa daftari la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA...

 Katika kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANGAZAJI WA CLOUDS FM WAZICHAPA KAVU KAVU .

Watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachoruka Clouds FM kuanzia saa 7 mchana hadi saa 10 jioni, Adam Mchomvu (kushoto), Hamis Mandi 'B12' (katikati) na Dj Fetty.

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live