MAMIA WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA BALOZI KAZAURA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu...
View ArticleUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA...
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua rasmi vipeperushi vilivyo andikwa , Mambo Saba makubwa ya kuungwa mkono na wananchi katika Rasimu ya Katiba pamoja...
View ArticleMADIWANI CHADEMA WAREJEA CCM
Kutoka kushoto ni Zakaria Martin Mfuko aliyekuwa Diwani wa Kata ya Masekelo(Chadema),na Kulia ni Sebastian Peter aliyekuwa diwani kata ya Ngokolo (Chadema) wakitambulishwa mbele ya umati wa watu na...
View ArticleZiara ya Wahariri wa Vyombo vya habari katika Kiwanda cha Bia cha TBL Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari...
View ArticleNMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw.Meck Sadick (kwanza Kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka...
View ArticleZiara Rasmi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard...
Mhe. Membe akiagana na Mhe. Yuanchao mara baada ya mazungumzo yao. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE, NI IJUMAA HII TENA PALE...
Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.... Ni kila Ijumaa zote za wiki...
View ArticleRais Kikwete azindua Rasmi Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa...
Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizindua Rasmi Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu kwa kukata...
View ArticleMWIGULU AZINDUA RASMI KAMPENI ZA CCM KALENGA KWA KISHINDO
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Godfrey William Mgimwa akibebwa Juu na Wanachama/wapenzi wa CCM mara baada ya Kuwasili Viwanja Vya Stendi-kata ya Ifunda. Mapokezi Mazito yakiendelea ya...
View ArticleTume ya Taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo la...
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo la CHALINZE, mtakumbuka kuwa jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo bwana Said Bwanamdogo kufariki...
View ArticleTanzania Yafunguka Kuhusu Michepuko
Kila Kona ya Nchi,Jambo Kuu linaloongelewa sasa ni MICHEPUKO! Kwa mara ya kwanza Tanzania imefunguka kuhusu mambo yanayosababisha Michepuko kwenye mahusiano na namna Michepuko hiyo inavyofichwa!...
View ArticleJionee Mwenyewe Picha Mbalimbali Jinsi mashabiki wa timu ya soka ya Simba...
Jana katika Mchezo wa soka wa kinyang'anyiro cha klabu bingwa Barani Afrika, uliozikutanisha timu za Yanga (Tanzania) na Al-Alhly (Misri) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam (Tanzania), timu ya...
View ArticleRadio Uhuru walivyouaga mwaka 2013 kwa raha zao
Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na...
View ArticleLUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR MAREKANI USIKU WA KUAMKIA LEO
Lupita Nyong'o akiwa na tuzo yake.Mwigizaji mahiri wa Kenya, Lupita Nyong'o amenyakua tuzo ya Oscar kupitia filamu ya ‘12 Years a Slave’ huko Los Angeles nchini Marekani.
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Alivyoiteka Kibaha Kijijini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibaha Kijijini kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani ambapo aliwaambia moja ya kazi kubwa ya viongozi wa CCM ni kutekeleza yale...
View ArticleTume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), imetoa tamko...
Mwenyekiti wa Tume Askofu Mkuu, Paulo Ruzoka.----Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), imetoa tamko ikitaka Bunge Maalumu la Katiba kuepuka kukashifu mapendekezo ya muundo wa...
View ArticleBONANZA LA MICHEZO DAR LIVE LAFANA
Mhe. Angela Kizigha na Mhe. Faustine Ndugulile wakifanya mazoezi na klabu mwenyeji wa bonanza hilo, Magenge 20.Mgeni Rasmi ambaye ni Mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki, Mh Angella Kizigha akiongea...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA MOJA KWA MOJA KUTOKA KAMPENI ZA CCM KALENGA, JUMATATU...
Mwana-CCM Maria Geofrey, akiwa ameketi kivulini na mtoto wake, wakati wa mkutano wa kampeni ulipokuwa kifanyika katika Kijiji ya Kibebe Kata ya UlandaNi shangwe na nderemo kwa wananchi wa kijiji ya...
View ArticleBaraza la Mitihani la Tanzania lawatangazia watu wote wanaotaka kufanya...
Kaimu Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa...
View Article