Quantcast
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMARY MJENGA AMKARIBISHA WAZIRI NYALANDU OFISINI KWAKE DUBAI

Mr Omary Mjenga akipata picha ya kumbukumbu na Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni Waziri mpya wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania wakati waziri huyo alipomtembelea bwana Mjenga ofisini kwake Dubai.Mh....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Freeman Mbowe Aongoza Maandamano Himo, Mbunge wa Moshi Mjini Ndesamburo...

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiongoza maaandamano Kuelekea Himo kwenye Uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima JanaMaelefu ya Wanachama wa Chadema Wakimshangilia kwa nguvu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uzinduzi wa Operesheni M4C Pamoja Daima Mbeya,Kigoma Kaskazini...

 Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akizindua Operesheni M4C Pamoja Daima singida   Umati wa watu ikishangilia  ukishuhudia wakati helcopter ikitua bukoba na mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI WA MIONO KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA...

 Rais Jakaya Kikwete, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Amnadi Rasmi Mgombea wa CCM Wa Jimbo la...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana,wakati alipowasili katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afanya ziara Mtwara atembelea maeneo mbalimbali

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitembelea maeneo mbalimbali kinapojengwa kiwanda cha kuchakata gesi asili eneo la Madimba mkoani Mtwara wakati wa ziara yake mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. BILAL AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO WA KANISA LA ST...

Zaidi ya shilingi milioni 65 zimekusanywa katika harambee iliyoongozwa na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa ukumbi wa mikutano wa Kanisa la Mtakatifu Peter...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCD KUZIKWA KIISLAM KESHO SAA 7 MCHANA

 ALIYEKUWA mpiga tumba wa Twanga Pepeta Soud Mohamed 'MCD' aliyefariki jana usiku, atazikwa kesho saa 7 mchana Moshi mjini.Kwa mujibu wa kiongozi wa Twanga, Luizer Mbutu mazishi ya MCD ilikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE DUDE AFARIKI DUNIA

Mzee Dude enzi za uhai wake. MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni! Mungu ailaze...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali inakusudia kutoa maelfu kwa maelfu ya tabuleti za kufundishia masomo...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi ya timu ya baseball ya Chicago Cubs  toka kwa mmiliki wa  timu hiyo na Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YAPAMBA MOTO

Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Luteni Mstaafu Maganga Sengelema akifafanua jambo mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mbeya ikiwa sehemu ya maandalizi ya sherehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUNGA, KIBANDA, MWIGAMBA WASHINDA KESI YA UCHOCHEZI

Theophil Makunga.Absalom Kibanda.Samson Mwigamba.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam  imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kusambaza vifaa vya umeme wa jua (solar) ya Rex Energy Bw Francis Kibhisa akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),kuhusiana na uzinduzi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI KWA CCM KATA YA NDULI

  Kada  wa  CCM Frederick Mwakalebela  na Simon Belege  kushoto  wakiwa katika mkutano  huoNa  Francis Godwin BloguCHAMA cha mapinduzi ( CCM) wilaya ya Iringa mjini kimezindua kampeni za uchaguzi mdogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DROO KUBWA YA MILIONI 50/- YA MIMI NI BINGWA YAKARIBIA‏

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akisisitiza jambo wakati akichezesha droo ya kumi ya promosheni ya Mimi ni Bingwa liyofanyika jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA NMB KATIKA MPANGO WA KILIMO WA STAKABADHI GHALANI

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa kitengo cha Masuala ya Kilimo katika Benki ya NMB Bw. Robert Pascal alipotembelea banda lao leo baada ya kufungua kongamano la kilimo Afrika Mashariki katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MAJI AZURU DAWASA NA DAWASCO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala, akisaini Kitabu cha Wageni katika Ofisi za DAWASA. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, Said El Maamry na Kulia ni Mkurugenzi wa DAWASA, Archad...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar es Salaam wakati alipokuwa akiwasili katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA CHINA NCHINI WASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO WA MOROGORO

Balozi wa China nchini Tanzania  Mhe. Lu Youqin. akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi misaada hiyo.Mkurugenzi  wa Idara ya  Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Luteni Jenerali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNIC YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MATESO YA KAMBI ZA WAYAHUDI

Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi ya Diamond juu ya umuhimu wa kujifunza mauaji ya kimbari ya wayahudi ya...

View Article
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live