Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6834 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GWAJIMA AMJIBU DOKTA SLAA by GLOBAL

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephath Gwajima (katikati) akizungumza kwenye mkutano huo leo katika Hoteli ya Land Mark.....Gwajima akionesha hisia zake.Wanahabari wakichukua matukio....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI, KAHAWA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI KWA RAIS KIKWETE IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKRANI

Familia ya marehemu Dr. John Edward Mchechu wa Ukonga Dar es salaam wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nao na kuwafariji kwa hali na mali katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAHIMIZA USHIRIKIANO KATIKA KUWASAIDIA WAKIMBIZI

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon,  akizungumza wakati wa  Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dhana ya wajibu wa kuwalinda raia, ambapo alisema licha ya kuasisiwa kwa dhana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU AFUNGUA MAFUNZO YA SAIKOLOJIA NA USHAURI NASAHA MAHALA PA KAZI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba, Nehemia Mchechu akizungumza na Mameneja na maafisa wandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa jana wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya kuhusiana na ushauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE WILAYA YA ITILIMA

Mwigulu Nchemba akiwa amaembatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Bariadi Mashariki wilaya mpya ya Itilima Ndg.Njalu wakiwasili kwenye viwanja vya Laini kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NITABORESHA MASLAHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA-MAGUFULI

Msafara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ukiwasilia katika mkutano wa hadhara wa kampeni, Korogwe vijijini.MGOMBEA urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli akifafanua jambo kwamsisitizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA, DUNI WAHUDHULIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR

Mgombe Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamadi akipiga makofi kuashiria Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi katika viwanja vya Kibanda maiti Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA...

Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA...

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Septemba 9,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ, SAUTI SOL AND PATORANKING ROCKS VUZU AMP 1st ANNIVERSARY...

Fantastic Decoration at the Marquee.(All Photos by Zainul Mzige).Sauti Sol were the first to rock the stage.Sauti Sol's Delvin Savara Mudigi sings to adoring fans in Mauritius.Sauti Sol rocking the...

View Article

HOTUBA YA DK JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOKUWA MKOANI MTWARA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA

Wakatikati ni Mufti mpya Sheikh Abubakary Zuber ambaye amechaguliwa leo na wajumbe wa BAKWATA mkoani Dodoma kuwa Mufti wa Tanzania akichukua nafasi  ya hayati Sheikh Issa Bin Simba.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA TANZANIA-MKOANI DODOMA

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akifungua rasmi kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar uliopo mjini Dodoma, katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NITAHAMASISHA UWEKEZAJI ZAIDI MUHEZA-BALOZI ADADI

Na Mwandishi Wetu, MuhezaMgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapiduzi (CCM), katika jimbo la Muheza mkoani Tanga, Balozi Adadi Rajabu (Kulia akipokea fomu), amesema atapigana kufa na kupona kuingiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA UTAWALA BORA

 Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The Category of Good governance in Africa,” wakati wa hafla fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA...

 Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga, akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi kabla Kaimu Katibu Mkuu hajaongea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PALESTINA KUPEPESHA BENDERA YAKE MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA

   Bendera ya  Palestine itapepea nje ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa,   hii inafuatia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  kupitisha azimio ambalo linatoa fursa kwa nchi ambazo si  mwanachama kamili wa...

View Article
Browsing all 6834 articles
Browse latest View live