TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MPANGO WA MAFUNZO KWA MADEREVA KUPITIA CHAMA CHA TADWU.
WIZARA YA KAZI NA AJIRA1. Serikali imepata taarifa za kuwepo kwa mpango wa mafunzo kwa madereva nchini kote, ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania-Tanzania Drivers Workers Union...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBLISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) leo Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleBALOZI MTEULE MAKAKALA WA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA DR SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika...
View ArticlePPF YAKUTANA NA WAFANYAKAZI WA NOKIA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwanachama mpya wa PPF, akijaza fomu za mpangowa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa...
View ArticleMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA...
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rehema Mkamba akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo. Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari Dodoma, Marco...
View ArticleJIONE PICHA VYAMA VYOTE VILIVYORUDISHA FOM NEC LEO
Edward Lowassa amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.Dkt. John Pombe Magufuli amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.Mgombea Urais kupitia TLP, Macmillan...
View ArticleRAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE
Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam....
View ArticleNDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI,...
Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma ‘Gadafi’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi...
View ArticleSUMAYE AITOSA CCM, AJIUNGA UKAWA
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akiongea na wanahabari.Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, leo amekihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).Sumaye...
View ArticleWANACHAMA WA CHADEMA ZAIDI YA 500 LUDEWA WAHAMIA ACT WAZALENDO ,WACHUKIZWA NA...
Wanachama wa Chadema wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe wakiandamana kupinga maamuzi ya chama hicho kukata jina la mshindi wa kura za maoni na kumteua aliyeshindwa ,mbali ya kuandamana pia wanachama hao...
View ArticleHARAMBEE YA KUCHANGIA MKOA WA KUSINI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika...
View ArticleTMT 2015 MPAKAKIELEWEKE KIMEELEWEKA KWA DENIS LASWAI
Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke, Denis Laswai akiwa ameinua mikono juu kuashiria ishara ya kumshukuru Mungu Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke msimu wa pili katika fainali...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZA CHAMA CHA CCM...
Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha...
View ArticleKILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10
Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali...
View ArticleCCM WAFUNIKA JANGWANI, DAR....JIONE MWENYEWE PICHA ZOTE HAPA ZA TUKIO...
Screen kubwa iliyofungwa jukwaani kwa ajili ya kutoa matukio live kwa walio mbali. Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo. Wanachama wa CCM wakishangilia mara baada ya kuwasili Jangwani....
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA URAIS
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kampeni ya Urais katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam leo(Picha zote na Freddy Maro).Umati wa watu walifika Jangwani.Umati wa watu...
View ArticleBALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI...
Balozi mpya atakayeiwakilisha Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi akiwa amefuatana na Mkewe Marystella Masilingi pamoja na mwanae Nelson Masilingi wawasili kituoni kwake Washington DC,...
View ArticleMCHECHU AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA BUILDEXPO AFRICA 2015 DAR
Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria...
View ArticleWADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI “B” MFUKO WA PENSHENI WA PSPF...
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni ‘B’ kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari...
View ArticleLOWASSA AZUNGUKA NA DALADALA HADI GONGO LA MBOTO KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa Katiba ya wananchi, UKAWA, Edward Lowassa leo ametembelea maeneo ya Gongo la...
View Article