WAZIRI LUKUVI AHIMIZA MPANGO SHIRIKISHI KUENDELEZA ARDHI KATA YA MAKONGO KWA...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na akizungumza na wananchi wa Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam juu ya Mpango Shirikishi wa...
View ArticleNASSAR AISHUKURU BENKI YA NMB KWA MISAADA INAYOENDELEA KUTOA KWA WANANCHI...
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki JoshuaNassar akifurahia msaada wa madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni viongozi kutoka katika benki hiyo pamoja na viongozi waliokuwa wakiiwakilisha serikali....
View ArticleRAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE...
Waziri wa Nchi (OR) ikulu na utawala bora Dr. Mwinyihaji Makame Mwadini Zanzibar akisalimiana na katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax wakati wakisubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete ahutubie na...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA, AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE...
Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele. Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere,...
View ArticleMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAFIKIA TAMATI, KATA YA 14 YAIBUKA KIDEDEA
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali za mashindano ya Mtemvu CUP...
View ArticleDRFA YASIKITISHWA NA MATOKEO MABAYA YA TAIFA STARS
Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimesikitishwa namatokeo mabaya iliyoyapata timu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufungwa mabao3-0 dhidi ya Mafarao wa Misri,katika mchezo wake wa kwanza...
View ArticleWIZARA YA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI...
Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Shaaban Issa Bin Simba.Enzi za uhai wake.………………………………………………….JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZOTaarifa kwa vyombo vya habariWaziri...
View ArticlePROFESA MARK MWANDOSYA AENDELEA KUSAKA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gamaakisalimiana na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Prof,Mark Mwandosya mara baada ya kufika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro wakati akiwa...
View ArticleMGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili...
View ArticleLOWASSA ADHAMINIWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa akipongezwa na Bibi huyu (ambaye jina lake halikuweza patikana kwa haraka) mara baada ya...
View ArticleMAPOKEZI YA MH. LOWASSA MJINI BUKOBA
Sehemu ya Wakazi wa mji wa Bukoba Mkoani Kagera wakiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, wakimsubiri kumlaki Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa, tayari...
View ArticleWAZIRI ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA...
Naibu waziri a Ardhi ,Nyumbana Maendeleo naMakazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama wakati alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa...
View ArticleWANANCHI WALIVYOTEMBELEA MRADI WA VIWANJA VIKURUTI
Baadhi ya wananchi wakiangalia ramani katika mradi wa viwanja unaoendeshwa na Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, katika eneo la Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani mwishoni mwa wiki...
View ArticleJOKATE AWATAKA WASANII KUWA WABUNIFU ILI KUPATA MAFANIKIO
Jokate (kushoto) akizungumza katika mkutano wa jukwaa la sanaa. Katikati ni katibu mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni nchini, (CAJAtz), Hassan Bumbuli na mbunifu mkongwe wa...
View ArticleWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA BAADHI YA WANANCHI WA MPANDA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanaCCM wa kijijini kwake Kibaoni wilayani Mlele Juni 15, 2015 wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya CCM ya kata ya Kibaoni kabla ya kudhaminiwa na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MUFTI SIMBA, ASHIRIKI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Marehemu Shaaban Issa Bin Simba, Bi Makaje Goso, wakati alipofika...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAISLAM KWENYE MAZISHI YA SHEIKH MKUU WA...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudani ya Kusini Mhe. Riek Machar Teny Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini Johannesburg, Afrika ya...
View ArticleMIKOA YA SHINYANGA NA MWANZA YAENDELEA NA UBABE MBIO ZA BAISKELI
Mmoja wa washiriki wa mbio hizo akinywa maji wakati wa mashindano hayo.Mshindi wa mbio za Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge, Masunga Duba aliyeinua mikono akishangilia mara baada ya...
View ArticleLUKUVI ATOA MSAADA WA PIKIPIKI 16 KWA MAKATIBU KATA WA CCM JIMBONI KWAKE
Makatibu kata wa CCM jimbo la Isimani wakiwa wamezunguka pikipiki 16 zilizotolewa na mbunge wao Wiliam Lukuvi kwa ajili ya kuwasaidia katika shughuli za kila sikuKatibu wa CCM mkoa wa Iringa Hassan...
View Article