Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6822

WAZIRI LUKUVI AHIMIZA MPANGO SHIRIKISHI KUENDELEZA ARDHI KATA YA MAKONGO KWA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU.

$
0
0
1
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na akizungumza na wananchi wa Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam juu ya Mpango Shirikishi wa kuendeleza ardhi na makazi ya wananchi kwa kushirikiana na Serikali.
3
Diwani wa Kata ya Makongo Deusdedith Mtiro akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na ujumbe alioambatana nao wakati wa ziara ya kikazi iliyokuwa na lengo la kuongea na wananchi wa Kata ya Makongo leo kuhusu namna bora ya kuwashirikisha wananchi katika kuendeleza ardhi ndani ya kata hiyo kwa maendeleo endelevu na yenye manufaa kwa pande zote mbili yaani wananchi na Serikali.
2
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angellah Kairuki akisisitiza namna mabaraza ya ardhi yanavyopaswa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa, wakati wa mkutano wa Waziri wa wizara hiyo na wananchi wa kata ya Makongo jana jijini Dar es salaam. Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na wa kwanza kushoto ni Diwani wa Kata ya Makongo Deusdedith Mtiro.
4
5
Mkazi wa Makongo juu Bi Ritha Mbotto akimuuliza swali Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (hayupo pichani) wakati mkutano na wanchi wa kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni mwandishi wa habari wa TBC Edward Kondela.
6
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiteta jambo na Naibu Waziri wake Angellah Kairuki wakati wa mkutano na wananchi wa kata ya Makongo leo jijini Dar es salaam.
7
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Makongo wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na ujumbe wake wakati wa mkutano na wananchi wa kata ya Makongo leo jijini Dar es salaam.
89
…………………………………………………
(Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6822

Trending Articles