Quantcast
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KABWE AZIDUA CHAMA CHA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARECY(ACT)

 Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  AnaaElisha    Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN KUENDELEA KUISAIDIA TANZANIA KUTATAU CHANGAMOTO ZA MAENDELEO

Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile (katikati) akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Hyatt Regency akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. WILLIAM LUKUVI AKIZUNGUMZA NA WADAU KUHUSU MPANGO WA UENDELEZAJI WA MJI...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akisisitiza jambo wakati wa mkutano na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Lukuvi akagua miradi ya NHC Kawe City, Eco Residences na nyumba za...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na mmoja wa wadau wananchi walionunua nyumba za Shirika hilo Mindu Upanga, Dar es Salaam, Alex Mgongolwa nyumbani kwake, Mindu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA JIMOLOJIA KUWEZESHA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI

Mkandarasi wa kampuni ya Kiure Engineering iliyofanya Ukarabati Mkubwa katika kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) cha Jijini Arusha, Oswald Modu ( wa tatu kulia) akimkabithi funguo za vyumba mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MDOGO MPYA INDIA, NA BALOZI MPYA WA OMAN WAKUTANA NA DK.ALI MOHAMED...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LAZARO NYALANDU AHAMASISHA ELIMU KWA WATANZANIA

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akiwahutubia wanafunzi wenzake waliosoma katika shule ya Ilboru ya Arusha katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kuchangia ukarabati wa majengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA WANACHAMA WA VIKOBA LAFANYIKA ARUSHA

Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa  bima ya Afya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MT,MERU

Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru,Sifael Masawe jana kikundi hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI WA SHIRIKA LA WAMISIONARI AWAPIMA AFYA VIJANA WAATHIRIKA WA MADAWA YA...

Daktari wa Shirika la Wamisionari  (Medical Missionaries lifestyle center for East Afrika) Kefa  Omari akimpima afya ya mwili mzima kijana Francis Oni ambaye ni Mwathirika wa madawa ya kulevya anaeishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUU WA SITA WA BARAZA LA VYUO VIKUU VYA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki, waratibu wa mkutano Mkuu wa Sita wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU

Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi wa promosheni ya ‘Shinda na Selcom’ inayomwezesha mtumiaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA ASKOFU GWAJIMA MAASKOFU KUTINGA KWA IGP DAR ES SALAAM LEO KUMUOMBEA...

 Maaskofu na wachungaji wa makanisa ya kipentekosti wakiingia ukumbini katika Hoteli ya Tamari iliyopo Mwenge tayari kwa kutoa tamko lao.Katibu wa Maaskofu wa makanisa ya Kipentekosti Dk. Damas Mukassa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA BARAZA LA...

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa akitoa hotuba fupi katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA.Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Aloysius Mujulizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE ROMBO, AVUNA WANACHADEMA TARAKEA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika kazi ya kutandaza nyaya za umeme vijijini pamoja na wafanyakazi wa TANESCO wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro katika kijiji cha Kirongo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Lukuvi amaliza ziara ya siku mbili kushuhudia utendaji wa NHC

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo. Nyumba za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MT,MERU

Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru,Sifael Masawe jana kikundi hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO...

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI ITAWASHUGHULIKIA WAFANYABIASHARA WANAOKWEPA KULIPA KODI – SAADA MKUYA

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (katikati) akiwasili katika Bandari ya Nchi Kavu ya TRH katika ziara ya wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam ambapo kontena mbili zilikamtwa ambapo moja ilikutwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMILIKI WA KUMBI ZA STAREHE WATAKIWA KUFUATA TARATIBU NA SHERIA KWA MUJIBU...

Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA…………………………………………….Serikali imewataka wamiliki wa kumbi za starehe , mabaa na nyumba binafsi kufuata taratibu na sheria zilizowekwa kwa mujibu wa vibali na leseni...

View Article
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live