Image may be NSFW.
Clik here to view.
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Peniel Lymo (Kushoto) akiongea na mwakilishi wa Kamati ilyioandaa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa awamu ya kwanza yaliyozinduliwa jana jijini Dar es Salaam.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Clik here to view.

Waziri Mkuu Mh.Mizengo Peter Pinda (Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya maandalizi ya ufunguzi kusimamia mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa awamu ya kwanzaImage may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Bwana Assah Mwambene akiingia katika viwanjwa vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam kuhudhuria ufunguzi wa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa awamu ya kwanza.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania Mh.Dk. Jakaya Mrisho Kikwete(Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya kusimamia Mpango wa maendeleo.