Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6858

ASKOFU MALASUSA AZINDUA HARAMBEE KANISA LA KKKT MBEZI BEACH

$
0
0
 Wazee wa Kanisa la KKKT Mbezi Beach wakifuatilia ibada hiyo iliyofanyika katika kanisa hilo lililopo Mbezi Tangi Bovu.
 Katibu wa Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Nehemia Kyando Mchechu akinadi moja wapo ya bidhaa zilizonadiwa katika mnada uliofanyika kwenye harambee ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa hilo na kituo kikubwa cha huduma. Kanisa hilo lililopo Mbezi Tangi Bovu. Harambee hiyo ilizinduliwa Rasmi na Askofu Mkuu wa KKKT Dk Alex Gehaz Malasusa.
Mzee wa Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Godwin Gondwe akinadi moja wapo ya bidhaa zilizonadiwa katika mnada uliofanyika kwenye harambee ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa hilo na kituo kikubwa cha huduma. Kanisa hilo lililopo Mbezi Tangi Bovu.
 Mzee wa Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Godwin Gondwe akinadi moja wapo ya bidhaa zilizonadiwa katika mnada uliofanyika kwenye harambee ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa hilo na kituo kikubwa cha huduma. Kanisa hilo lililopo Mbezi Tangi Bovu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6858

Trending Articles