Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6929

RAIS KIKWETE AWASILI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa ngoma za kitamaduni mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM).
(PICHA NA IKULU)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6929

Latest Images

Trending Articles