Mama Fatma Karume akiwasili katika viwanja vya Afisdi
Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kuhudhguria Hitma na dua ya kumuombea
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika jana Mjini Zanzibar.

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akiwaili
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM kuhudhuria hitma ya Baba yake Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume, iliofanyika jana Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM na kupokelewa
kwa na Askari wa JWTZ , akihudhuria Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
Afisi Kuu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Hitma na Dua
ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliofanyika jana.

Shekh Thabit Noman Jongo akitowa maelezo ya hafla ya kuaza kwa hitma na dua ya
kumuombea Mzee Karume iliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.

Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akisoma
dua kabla ya kuaza kwa kisomo cha hitma ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume.kilichofanyika jana Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akisoma dua kabla ya kuaza kwa kisomo
cha hitma ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.kilichofanyika jana
Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis na kushoto Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaaf wa Zanzibar
Dk Amani Abeid Karume.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha hitma
kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe, Pandu Ameir Kificho.