$ 0 0 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08,2015.