Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

ETTunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu za Krismas na mwaka mpya, wananchi wenye imani ya Kikristo na hata madhehebu mengine hutumia muda huo kwenda kuabudu pamoja na muendelezo wa sherehe hizo kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA...

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Mwanamuziki Mahiri Nchini Diamond na...

 Rais Kikwete akiwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kumkaribisha na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumanne Desemba 23,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHAUZI CLASSIC KUTAMBULISHA WIMBO WAO MPYA “SURA SURAMBI

Kundi zima la Mashauzi Classic chini yake Isha Mashauzi, litafanya utambulisho wa wimbo wao mpya “Sura Surambi” kwa wakazi wa Morogogo Disemba 25 kwenye maadhimisho ya siku ya Christmas.Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN ATOA VIFAA VYA MCHEZO WA RIADHA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwapa mawaidha yake mafupi viongozi wa mchezo wa Riadha walipofika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO

 Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January, hapo juzi katika viwanja vya sabasaba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa...

   Ibada ikiendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.  Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, afanya mahojiano na gazeti la Gulf Today...

WIki iliyopita tarehe 17-18, Ubalozi Mdogo kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, uliandaa kongamano la uwekezaji katika sekta ya utalii, kwa nia ya kuvutia wawekezaji na  watalii ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp...

 Rais Kikwete akimsindikiza Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yafungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili

 Mkurugenzi wa Lino Agency ambaye ni mmoja kati ya waandaaaji wa Miss Tanznia, Hashim Lundenga    Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Edward Lowassa Amtembelea...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU ATANGAZA RASMI KUWANIA URAIS 2015

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO ALIVYOPOKELEWA DIAMOND NA KUNDI LAKE NCHINI BURUNDI..

             

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MBANJA

Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na vijana na wananchi mara baada ya kuzindua rasmi shina la wakereketwa Zahanati Kempu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ ATUA RWANDA KWA SHANGWE

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana.Diamond Platnumz...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa tatu kushoto),Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim (wa nne kulia),Sheik Mkuu wa Tanzania,Shaaban Simba (wa pili kushoto) na Sheikh wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA LORI NYORORO IRINGA, LAFUNGA BARABARA KWA SAA KADHAA

Sehemu ya msururu wa magari yaliyokwama baada ya ajali hiyo kuziba barabara ya Iringa-NjombeMsururu wa magari yaliyokwama baada ya ajali hiyo kuziba barabara ya Iringa-NjombeSehemu ya Lori lililopata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA JAJI ANTONY BAHATI

Mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake.Kitabu cha kumbukumbu.Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.Baadhi ya wanafunzi...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live