UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAFANIKIWA KWA ASILIMIA 98.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Hawa Ghasia akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio ya uchaguzi wa Serikali za...
View ArticleWAKAGUZI WA MIGODI WAPIGWA MSASA
Baadhi ya Wakaguzi wa Madini kutoka mikoa mbalimbali nchini, wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Wakaguzi wa Migodi kuandaa miongozo (checklist) ili itakayosaidia...
View ArticleBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO WA HIFADHI NA KUELEZEA MAONO YA TAIFA
Wageni mbalimbali wanaoshiriki mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha ulioanza leo katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA...
Mkuu wa Magereza Mkoani Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Hamis Nkubas akifanya mahojiano maalum Ofsini kwake na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo vya Habari vya Habari Leo, Daily...
View ArticleFAINALI YA AIRTEL UNI255 UDSM INTER-COLLEGE CHAMPIONS LEAGUE YAHIMITISHWA
Wachezaji wa timu ya Chuo cha Sayansi za Jamii, wakijifua kwa mazoezi kabla ya mchezo wao dhidi ya timu ya Chuo cha Uhandisi na Teknolojia katika fainali ya mashindano ya vitivo mbalimbali vya Chuo...
View ArticleVAN DER PRUIJM: NIMEKUJA KUENDELEZA PALE NILIPOISHIA
Kocha Van Der Pruijm akiwa na Shaffih Dauda mara tu baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa mwalimu NyerereKocha wa zamani wa Yanga mdachi Hans Van Der Pruijm amesema amerudi tena kwenye timu yake ya...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE YA SIMU WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU
Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo (kushoto) na Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde wakionyesha kwa waandishi wa habari, vipeperushi vya ofa kabambe ya simu kwa msimu...
View ArticleRAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa...
View ArticleKAGERA KUJIVUNIA UWANJA WA NDEGE WA KISASA
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kagera kujionea maendeleo ya Mradi wa Upanuzi wa Kiwanja hicho. Waliotangulia mbele...
View ArticleBARABARA DAR KUENDELEA KUIMARISHWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa Bi.Theresia Mmbando na Naibu Waziri...
View ArticleNAPE: WALIOVURUGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAADHIBIWE, UKAWA BADO NI...
NA BASHIR NKOROMOCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.Kimesema, watendaji...
View ArticleRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA MAMA MWAIBALE
Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda MbeyaWa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho...
View ArticleWAWAKILISHI WA MABARAZA YA WAZEE WA KIMILA WAKIMASAI WAKUTANA NA KINANA
Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCMWataka wafugaji wamilikishwe ardhiWaitaka serikali kuboresha maisha ya wafugajiWataka wazawa wapewe kipaumbele zaidiWatoa salaam kwa Rais...
View ArticleTANZIA:Aliekuwa mneguaji wa musiziki wa Bendi Aisha Madinda Afariki Dunia Leo
“Aisha Madinda” amefariki leo hii na mwili wake umeifadhiwa kwenye hospitali ya mwananyamala, jijini Dar-es-salaam.Aisha madinda ambae jina lake halisi ni Aisha Mbegu alizaliwa mwaka 1980 katika...
View ArticleEALA ASSEMBLY REMOVES RT HON DR. ZZIWA FROM OFFICE
Hon Frederic Ngenzebuhoro presents the report of the Committee on Legal, Rules and privileges to an attentive HouseHon Hafsa Mossi makes her contribution on the Motion this afternoonHon Mukasa Mbidde...
View ArticleWASANII WAKONGWE WAPANIA KUFANYA KUFURU KATIKA UZINDUZI WA KAONE SANAA GROUP...
Mastaa waliokuwa wakiunda kundi la zamani la Kaole wakiongea na wanahabari (hawapo pichani) jinsi walivyopania kufanya kweli kwenye uzinduzi wa kundi lao jipya la Kaone, Boxing Day ndani ya Dar...
View ArticleBALOZI KAMALA AKARIBISHWA JIJINI WETTEREN UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akilisikiliza maelezo kuhusu zawadi aliyokabidhiwa kama ishara ya kumkaribisha jijini Wetteren Ubeligiji. Anayetoa maelezo ni Mhe. Live De...
View ArticleZIARA YA MH. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA DUBAI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Devota Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza...
View ArticleBALOZI MARMO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAISI WA AUSTRIA
Balozi wa Tanzania nchini Austria ambaye ana makazi mjini Berlin, Ujerumani Mhe. Philip S. Marmo; mapema mwezi huu alikabidhi Hati za Utambulisho (Letter of Credence) kwa Mhe. Dkt. Heinz Fischer, Rais...
View ArticleSERIKALI YASAINI AZIMIO LA ARUSHA LINALOHUSU KINGA YA JAMII.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisaini Azimio la Arusha kwa niaba ya Serikali ya Tanzania ambalo lilipitishwa wakati wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba...
View Article