DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi mjini wakiwa katika uwanja wa Mashujaa katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Davis Mosha.Mtangaza nia ya...
View ArticleMAGUFULI ATAMBULISHWA KWA WANA CCM ZANZIBAR
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari la wazi pamoja na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan kwenye mitaa ya Michenzani Zanzibar.Mhe. Magufuli aliwasili...
View ArticleUTIAJI SAINI WARAKA WA MAADILI YA UCHAGUZI KWA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR
Naibu katibu Mkuu wa Chadema tawi la zanzibar Salum Mwalim akielezea maswala mbalimbali kuhusiana na hali ya Usalama kuelekea katika Uchaguzi mkuu katika hafla ya utiaji Saini waraka wa maadili ya...
View ArticleWAPANGAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) JIJINI MBEYA WATOLEWA NJE.
Madalali wa mahakama wakitoa vitu nje kwenye moja ya wapangaji wa shirika la nyumba la Taifa (NHC)jijini Mbeya .ambao wamekuwa wakidaiwa na shirika hilo (Picha na David Nyembe) Baadhi ya wananchi...
View ArticleBENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA FUTARI KWA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM
Mkuu wa Matawi wa Benki ya Exim, Bi Elizabeth Mayengo (wa pili kulia) na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Bi. Violet Bikoche (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa benki hiyo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI TANZANIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu...
View ArticleWAJASIRIAMALI ZINGATIENI UBORA WA KAZI ZA SANAA ZA MIKONO WAKATI WA TAMASHA...
Mkurugenzi Idara ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko (wapili kulia) akifungua mkutano wa wajasiriamali wa kazi za sanaa za mikono pamoja na...
View ArticleWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi...
View ArticleDC MAKONDA AKUTANA NA VIJANA WASIO NA AJIRA NA KUWAUNGANISHA, KUBUNI MIRADI...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda akizungumza na vijana ambao hawana ajira wenye elimu tofauti katika viwanja vya Leadres jijini Dar es salaam, ambapo amekutana na vijana hao ili...
View ArticleMAFANIKIO YA BRN TANZANIA YAZIVUTIA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA
TWEETLilian Lundo-MAELEZO…………………………………..Mafanikio ya utekelezaji wa mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), nchini Tanzania yamevutia nchi nyingi za Jumuiya ya Madola ambazo zimeomba kuja kujifunza namna...
View ArticleMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi...
View ArticleIDD AZAN NA JUMAA MHINA ‘PIJEI’ WACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Jamii UVCCM Dar es Salaam na Kamanda mstaafu wa wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni, na Wakili wa Mahakama kuu, Jumaa Mhina ‘Pijei’...
View ArticleMICHANGO BADO YAHITAJIKA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA KIMBANGULILE MKURANGA...
Huu ndio msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni uliopo Kijiji cha Kimbangulile, Wilaya ya Mkuranga , Mkoa waPwani. Ujenzi wa Msikiti ukiwa umeanza.Hivi ndivyo ujenzi ulipofikia katika ujenzi huo na...
View ArticleMSANII MAARUFU WA FILAMU AJIUNGA NA ACT WAZALENDO
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa ‘Frank’ alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama...
View ArticleMKURUGENZI MKUU MPYA TCRA AMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA,...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba(Kushoto)...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2015 HAPA
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2015 EXAMINATION RESULTS
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA...
Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw, Ahmed Masser wakati alipowasili katika eneo la mkutano uliofanyika mji mdogo wa Chalinze jana ukiwa na...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE MEETS UN HIGH COMMISSIONER FOR REFUGEES ANTONIO GUTERRES IN...
The United Nations High Commissioner for Refugees UNHCR Mr.Antonio Guterres welcomes to his Geneva office President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete The President paid a courtesy call on him today and held...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI
Katibu wa vijana umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana...
View ArticleBASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI...
TWEETBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa...
View Article