MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA...
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili kushoto akimuelekeza jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau ambaye alitembelea hospitali hiyo jana...
View ArticleMKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA KIKAO CHA DHARURA CHA...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akizungumza wakati akiongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kujadili na kufanya uamuzi wa kuanzisha majimbo mapya ya uchaguzi katika wilaya...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. JUU YA MAANDALIZI YA MCHAKATO WA KUPIGA KURA...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti leo kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma, tarehe 23 Mei...
View ArticleWAZIRI NYALANDU ATEMBELEA MTO RUVUMA MPAKANI MWA TANZANIA NA MSUMBIJI
Diwani wa Nhavila, wilayani Masasi Meja Ramadhan Chilumba akimsaidia Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupanda kingo za mto, alipotembelea mto Ruvuma mpakani na Msumbiji kutoa kifutajasho...
View ArticleNGUMI ZA TPBC NA KINYOGOLI FONDITION ZILIVYOPIGWA
Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika...
View ArticleMITAZAMO HASI KITAMADUNI CHANZO CHA MAUAJI YA WATU WENYE ALBINISM
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bi. Zulmira Rodgrigues, akiwasilisha mada katika warsha ya siku tatu iliyofanyika katika kijiji cha Nyakahungwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kuhusu...
View ArticleJK AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC) MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwenye ukumbi wa NEC ,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.………………………………………………..Angalia picha za...
View ArticleUSIKU WA TUZO ZA FILAMU WAFANA JIJINI DAR, WENGINGI WAPATA TUZO
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za...
View ArticleUHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA VILIVYOPEWA MSAADA WA MASHINE NA NHC WAFANYIKA...
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi (mwenye shati jeupe)akitoa maelezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Dodoma Bw. Boniface Michael ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa...
View ArticleSERIKALI YAJIPANGA KUBORESHA MAZINGIRA RAFIKI YA HEDHI SALAMA KWA WANAFUNZI
Mratibu wa huduma ya Maji, Afya na Usafi wa mazingira shuleni kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bi Theresia Kuiwite (Katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu...
View ArticleACACIA HONOURS IT'S DAR OFFICE EMPLOYEES FOR LONG SERVICE
Acacia’s top leadership,DeoMwanyika, (First-L), Peter Gelete, (2rd-L), Andrey Wrey, (3rd-R), Asa Mwaipopo, (2nd-R), and Janet Reuben Lekashingo, (First-R), pose for a group photo with two awards’...
View ArticleUNESCO YASISITIZA UPENDO KWA WATOTO WENYE ALBINISM
Mkuu wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, Bi. Zulmira Rodrigues (katikati) akiambatana na Mbunge wa viti maalum CCM, anayewakilisha watu wenye ulemavu,...
View ArticleUNFPA WAKABIDHI MSAADA WA GARI LA WAGONJWA, JENGO NA VIFAA VYA UPASUAJI GEITA
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la upasuaji huku Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa...
View ArticlePSPF YAUNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFLA YA KUENDELEZA UMOJA WA...
Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau...
View ArticleJARIDA LA “BANG” LATIMIZA MIAKA KUMI NA MOJA YA UTENDAJI WAKE
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akionyesha Jarida la Bang! toleo la 55 ambalo limeadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa jarida hilo.Mkurugenzi Mtendaji...
View ArticleDK.ALI MOHAMED SHEIN AKITIA UDONGO KATIKA KABURI LA DADA YAKE MAREHEMU FATMA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa katika Makaburi ya...
View ArticleBAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika lisilo la kiserikali la C-Sema, Michael Kehongoh akitoa maada katika semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za...
View ArticleJUMA NATURE NA WENZAKE KUITEKA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA KOMAA...
Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini pamoja na...
View Article