WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA ZIARANI KATIKA JIMBO LA ISIMANI NA KALENGA MKOANI...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua matrekta madogo maarufu kwa jina la Power Tiller yanayotumika katika shamba la kilimo cha umwagiliaji la Magozi katika jimbo la Ismani wakati alipolitembelea shamba...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA DCP MSTAAFU WA JESHI LA POLISI TANZANIA , MZEE ANDREW...
Jeneza lenye Mwili wa marehemu Mzee Andrew Michael Kumalilwa ukiwa tayari kushushwa nyumbani kwake Tabata Segerea ambapo misa ya kumuombea na kutoa heshima za mwisho zilifanyika kabla ya Kwenda...
View ArticlePUSH OBSERVER YAZINDUA TEKNOLOJIA YA KISASA YA UKUSANYAJI WA TAARIFA...
Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake. mkuu wa...
View ArticleVIONGOZI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowasa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh...
View ArticleWAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KUPAMBANA NA VURUGU NA...
Rais wa Marekani, Barack Obama akitoa hotuba yake katika Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani uliofanyika katika Ukumbi wa Loy Henderson, Wizara ya Mambo ya Nje, jijini...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba na kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Ndugu Mwanajuma Majid Abdalla tarehe 20.2.2015. Mama Salma alialikwa...
View ArticleMKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI)...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta...
View ArticleWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AMPA POLE CHIEF WA WAHEHE , ADAM ABDU SAPI MKWAKWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwakwa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu...
View ArticleCHAMA CHA NCCR-MAGEUZI CHATOA TAMKO KUHUSU SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam ,...
View ArticleYANGA YAICHAPA MBEYA CITY 3-1
VINARA wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, jana huko Sokoine, Jijini Mbeya wamepaa kileleni wakiwa Pointi 5 mbele ya Timu ya Pili na Mabingwa Watetezi, Azam FC, baada ya kuichapa Mbeya City Bao 3-1.Bao za...
View ArticleMHE. SAMWEL SITTA AKUTANA NA WANADMV AFAFANUA VIFUNGU VYA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
Mhe. Samwel Sitta amewasili nchini Marekani siku ya Jumapili Februari 22, 2015 na baadae jioni kukutana na Watanzania wa DMV na kuwafafanulia vifungu vya katiba iliyopendekezwa hasa kwenye swala la...
View ArticleAMIN SALMINI AAHIDI KUIBORESHA OFISI YA SERIKALI YA MTAA KATA YA TABATA,...
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum...
View ArticleAIRTEL KUENDELEA KUSAIDIA WALEMAVU HAPA NCHINI KWA KUWAONGEZEA VITENDEA KAZI
Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (wa pili Kulia) akimkabidhi Rukia Salum (wapili Kushoto) mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya kisasa vya Airtel Money ili...
View ArticleWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MKURANGA WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA KUPIMIA MACHO
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (Pwani.kushoto)akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya...
View ArticleZiara ya Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa Kilimanjaro na Arusha
Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Mhe. Zakia Meghji alipotembelea eneo ambalo jengo la biashara la ghorofa litakalojengwa Moshi Mjini mkoa wa Kilimanjaro plot no 97/Block I Aga Khan Rd/Market Str. Kushoto ni...
View ArticleVURUGU KUBWA IRINGA, POLISI NA WANANCHI WAPAMBANA.
Zipo taarifa za kutokea kwa vurugu kubwa katika eneo la Ilula mkoani Iringa.Taarifa zinadai kuwa vurugu hizo ni kati ya jeshi la polisi na wananchi wa kawaida ambao wamefunga barabara kwa kuwasha moto...
View ArticleRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE ZA SEKONDARI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilayaya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule yaSekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwakukagua...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI ZAMBIA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wawasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wao Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi...
View ArticleBENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) YABORESHA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA BAADA YA...
Benki ya Posta Tanzania (TPB) na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), wamekabidhiana rasmi mradi wa huduma kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.Lengo la mradi huu ni kuhakikisha kuwa TPB inatanua wigo wa...
View ArticleSHULE ZA MSINGI MKOANI SINGIDA KUPOKEA VITABU 200
Miss Singida kanda ya kati 2014/15,Doris Mollel akisikiliza jambo kutoka kwa Afisa Mipango wa Children’s Book Project for Tanzania,Ramadhani Ali wakati akipokea vitabu kutoka Children’s Book Project...
View Article