Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6861

HAYA SASA DIAMOND PLATNUMZ KABEBA TUZO NYINGINE YA (MTV MAMA) HUKO BONDENI

Image may be NSFW.
Clik here to view.
10644526_818552308166585_192534550673984326_o

Dogo kapasua hapa si mchezo kazi nzuri Diamond Platnumz.
Mwanamuziki Nguli Tanzania, Afrika na duniani Mtanzania Nasib Abdul Maarufu kama “Diamond Plutnamz” amebeba tuzo moja tayari katika tuzo za muziki za MTV AFRIKA MUSIC AWARD (MTV MAMA) ambazo zinaonyeshwa moja kwa moja kwenye luninga hiyo ya muziki ya MTV nchini Afrika Kusini  katika jiji la Durban  Kwazulu -Natal ambapo ameshinda kipengere cha Besta Live Act  MTV MAMA. Kikosi kizima cha Fullshangwe kinakupongeza n kwa mafanikio hayo na kinakutania kila mafanikio katika mwendelezo wa tuzo hizo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6861

Trending Articles