Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6834

MAFUNZO YA SIKU TATU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) YAFUNGWA NA KAMISHNA WA KAZI NA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR

$
0
0
unnamed1AMwenyekiti wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman (kulia) akimka Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Mr. Kubingwa Mashaka Simba katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya Mitandao ya kijamii (Social Media) yaliyofanyika Shule ya VIP mwanakwerekwe Mjini Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
unnamed5ABaadhi ya wahitimu wa Mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya Mitandao ya kijamii (Social Media) wakionyesha veti vyao. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar) .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6834

Trending Articles