Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6824

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI KWA MKOA WA DODOMA

$
0
0
Meneja wa Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino.

Mkufunzi kutoka VETA akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa jinsi mashine hizo zinavyofanya kazi
Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi akikabidhi mashine kwa wakuu wa wilaya za Chamwino na Kongwa kwa niaba ya wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Dodoma. Hafla hiyo ilifanyika jana mkoani humo ikiwakutanisha wakufunzi, wakuu wa wilaya na wadau mbalimbali.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6824

Trending Articles